X hits on this document

PDF document

Uvumbuzi wa Isimu Amali - kwa Wajaluo, Kenya - page 8 / 9

66 views

0 shares

0 downloads

0 comments

8 / 9

Isimu amali kwa Wajaluo

kupata kazi na riziki yake. Mambo anayofunzwa yanawezakuwa kama akiwatambikia mizimu - hata asipo fahamu mambo muhimu ni nguvu inayotokea kufuatana na maneno yake. (Abbra kadabra kadoo ... hayana maana lakini yanafanya mlango ufunguliwe)!

Kwa kiasi panda ya semantiksi, na zaidi kwa isimu amali, Kenya inayo Viingereza viwili vinavyotumiwa kwa wakati na mahali moja. Hiki ni Kiingereza cha rasmi kinacho andikwa kwa kamusi (zinavyo toka nchi za nje, zaidi ninaziona kamusi za Oxford), na Kiingereza cha Kenya ambacho kwa sehemu kubwa inatumiwa kukilingana na lugha za watu wa asili.

Hitimisho

Utafiti wa isimu amali ambao unajaribu kuchunguza lugha ambazo sio za Ulaya bado haijafanywa sana (Hinnekamp 1995:15). Pengine inafanya hiyo yangu iwe mbele?

Ikiwa uvumbuzi wangu ni sawa, lazima mambo ya lugha yaendelee kufikiriwa sana. Kupitia kwa utafiti wangu mimi mwenyewe ninazidi kufahamu ugumu unaokuwepo kwa kufanya utafiti kwa watu ambao sio 'wako'. Pia kuona jinsi usomi wa mataifa unachanganya kwa kiwango cha kulazimishwa uchunguzi sana ili kuongezekwa na ujuzi ambao ni sawa kwa mtafiti. Mtafiti lazima afikirie sana juu ya mambo yanayoandikwa juu akitaka kusoma au kusikia na kufahamu mambo kutoka kwa mtu mwenye mila tofauti na yake.

Moja ya hali ambayo ni msingi wa utofauti kati ya Kiingereza na Dholuo, ni maelekeo ya Wajaluo wa Kenya kwa kifo na wafu, ambayo ni tofauti sana na hiyo ya Waiingereza wengi sana.

Hali aina hizi ninaona ni muhimu zaidi kwa kanisa na somo ya theologia. Haya masomo yanafaa yawe yamoyoni mwa ndani. Mambo ya moyoni mwa ndani hayawezi kujengwa pasipo uhusiani mzuri kati ya lugha na mila yake.

Bibliografia

AMUKA, PETER SUMBA OKAYO,

1978

'Ngero as a Social Object' A thesis submitted in partial fulfillment for the degree

of Master of Arts in Literature at the University of Nairobi

ANON,

(nd) The Sapir - Whorf Hypothesis http://venus.va.com.au/suggestion/sapir.htm/ [www]

AUSTIN, J.L., 1962

How to Do Things with Words Oxford: Clarendon Press

BROWN, PENELOPE and LEVINSON, STEPHEN C., 1987 (1978) Politeness: Some Universals in Language Usage Cambridge: Cambridge University Press

CRAGG, GERALD R., 1960 The Church and the Age of Reason 1648-1789 Middlesex: Penguin Books

EGNER, INGE, 2002 The Speech Act of Promising in an Intercultural Perspective SIL International URL:(8-01-03) http://www.sil.org/silewp/2002/001/silew P2002-001.pdf

HINNENKAMP, VOLKER,

8

Document info
Document views66
Page views67
Page last viewedFri Jan 20 06:49:31 UTC 2017
Pages9
Paragraphs145
Words4238

Comments