X hits on this document

192 views

0 shares

0 downloads

0 comments

14 / 50

tuna shida?

Audience: Hakuna.

Com. Pastor Ayonga: Hakuna shida. Haya salamia wao Kikisii.

Lydia Manyoni: Mbuya mono.

Audience: Mbuya mono sana.

Com. Pastor Ayonga: Okay, neye. Eeh, umeambiwa mbuya mono sana. Basi sasa tuko hapa kwa mkutano na mkutano huu ambao imetuleta hapa siku ya leo. Tulianza pahali fulani na leo tunaenda kumaliza pahali fulani. Mara ya kwanza tulipochaguliwa, tulichaguliwa ili tufanyie Wanakenya kazi. Wanakenya wanasema wamechoka na Katiba ya zamani, nasikia kuna mzee hapa ambaye amechoka na amechoka na akipewa nafasi, siku ngapi? Angwen.

Angwen: Angwen.

Com. Pastor tunakimbizwa

Ayonga: Angwen mangima.

sawa

sawa

kwa

kugeuza

hiyo

Na sisi hatuna siku hizi, sisi tuna saa

Katiba.

Si

mnaona

vile

tunakimbizwa?

kidogo kwa maana mnajua hata mbio Tunakimbizwa sawa sawa na sisi pia

tunakuja sawa sawa, tunasema tutaenda tutawaambia. Mara civic education. Wangapi hapa walikuwa waalimu wa civic

ya kwanza education?

tuliambiwa kwamba tuje tuwafundishe, tukafanya ile Mnaona mkono hapa, kulikuwa na watu wa civic

education education

ambao walikuja kuwafunza na sisi pia kama Commissioners tulihusika kufundisha civic education na tulipomaliza civic tukaona tena maneno inataka kuenda namna hii, namna hii. Tena tukasema kwamba tukimbie haraka, tuchukue

maono, tukaja hapa zingine mkatutumia.

kwenu

mkatupa

maneno

tuka-record.

Mkatupa

maandishi

ambao tuliita memoranda,

hayo

pia

mkatupa

na

Kwa hayo maneno yenu yote tumechukua, tulienda tukakaa ndio haya meneno yenu. Tumeyaangalia, ofisi yetu ukienda utapata watu wanajaa huko kama soko, ukiangalia katika vyumba vingine makaratasi yamejaa, yamejaa na hawa watu wanafanya kazi na shifts. wengine wanafanya mchana, wengine wanafanya usiku. Hata hizi tapes ni nyingi huko kabisa na tuna watu, kana ni ya Kijaluo tuna mjaluo ambaye atasikiza hiyo sawa sawa atoe hayo maneno, atuambie huyu amesema nini. Kowachnwa ni chuo nindo to mano bende wawinjo ni chuo nindo, kowachi ni gichiew be wawijo ni gichiew, gima giduaro, gima mon duaro. Duto mago, Jaluo nitie mawachonwa ni jogi owacho kama kama. Magi e gima jopiny duaro, jopiny duaro ni mondo olok Katiba. Bas gindiko piny and then we have done all that.

Wasebedo piny kaka Commissioners to try to find out kila kitu ya Kenya. Huyu Mnandi alisema nini, huyu Mjaluo alisema

14

Document info
Document views192
Page views192
Page last viewedSat Oct 22 02:12:51 UTC 2016
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments