X hits on this document

352 views

0 shares

0 downloads

0 comments

15 / 50

nini, ja Kisii ma jagot koni owacho ang’o, ja Maasai owacho ang’o kuom gini? Eka wasekawo gik moko duto te mane uwacho and before we close our work the Act ilutuambia hivi, baada ya watu kuwapa views zao kwa maana hii ni Katiba ya Wanakenya tena tunawarudishia na kusema yale maneno nliotuambia ni hivi na vile. Hivyo ndivyo mlituambia Kenya iwe, hivyo ndivyo mlituambia mnataka hii iwe namna hii, sasa hii ndio kazi yetu. Mnataka?

Sasa tumewaletea hiki siku ya leo na katika Act ya Parliament ilikuwa inafanywa namna hii. Hii itolewe kwenu, musome siku thelathini kabla ya sisi kuita National Constitutional Conference ambayo italeta MPs wote na ndipo inaleta three representatives from each district katika Kenya, ndipo inaleta viongozi wa Makanisa, ndipo inaleta viongozi wa wafanyikazi, ndipo inaleta professionals, wale watu wana ujuzi ya namna fulani fulani. Hao watu wote watakuwa watu mia sita na zaidi, hawa watu si ni wengi? Kutoka all over Kenya, ndio huyu mama yuko hapa leo, huyu mama atakuwa mmoja wao na nasikia nyinyi wa Nyatike mmenyakua viti mbili. Eeh, wale wengine wasije wasikie, wasikie tu baadaye kama hawa wameshafika huko na wamemaliza maneno lakini wakisika sani, ekoreni unyalo nuang’o wach.

Lakini hiyo ilikuwa uchaguzi wa nini, wa District, si ndiyo? Tayari katika paper ya leo, sikupata nafasi ya kusoma majina ya hawa watu waliochaguliwa ambao wanakuja yamewekwa. Wewe umeona jina lako? Mama ameangalia jina lake iko na ikishaandikwa hivyo, hiyo imekuwa gazetted yeye ni delegate, upende usipende atakuja. Kwa hivyo hawa watu, nataka kuwaeleza kidogo. Ni kwa nini wanakuja, hawa watu mia sita na kitu, ni kwa nini wanakuja. Kwa maana tunasema hii Katiba ni ya Wakenya na hii Katiba kama ni ya Wakenya hawa watu watakuja kule Nairobi, wataketi na watasoma neno kwa neno kwa hii Katiba ambayo tumeandika. Katiba ambayo tumeandika ni hii, manaona hiki kitabu, hii si kitabu rahisi. Hii kitabu ni nzito, hii ndio Katiba yenye tumeandika lakini hii Katiba tumeiita hivi? Tumeiita draft, kitu kikiitwa draft maana yake ni nini?

Speaker: …(Inaudible)

Com. Pastor Ayonga: Sema kwa sauti watu wasikie. Kiti kikiitwa draft maana yake nini? Maana yake hiki kitu hakijakua kamili, hii ni mchoro wa Katiba ambayo mwingine ataweza kusema room hii ambayo naoni ni kubwa kidogo nataka iwe namna hivi, shape iwe hivi. Maneno haya ambayo naona hapa mlifunga nut zaidi hapa mtaumiza watu, legeza kidogo ndio maana ya hii inaitwa draft. Maana yake kuna nafasi wa mtu kutoa na wa mtu kuongeza, ndio maana tunaiita a draft Constitution ambayo ina nafasi kwa hawa Wajumbe ambao watakuja kusema hii tumesoma. Ndio maana tumewaletea hii, the Choice of People ili musome na nyinyi mupate nafasi ya kusoma. Na unaona kitu unapewa siku thelathini kusoma, wewe unaona hicho kitu ni rahisi.

Audience: Hapana.

Com. Pastor Ayonga: Usome, utafune, uongea gi Jaduong’ ng’ane, naye pia umuulize. In ka to ineno ni nade? Muwe na debate nyinyi kwa nyinyi. Ndipo sasa hawa watakapokuja, huyu mama na wale wengine na Mjumbe wenu, watakapokuja wanaanza kuja na mawazo tofauti. Wanaweza kuwa wanaweza kuona mambo yote yako hapo iko sawa na kusema ndio,

15

Document info
Document views352
Page views353
Page last viewedMon Jan 23 17:20:02 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments