X hits on this document

314 views

0 shares

0 downloads

0 comments

18 / 50

watu ndio wakubwa, the people of Kenya are sovereign. Ni sisi, people ni nani? Ni sisi na mkatuambia tena tunataka

Constitution ndio chini ya sheria. mlituambia?

iwe Supreme. Sheria ndio iwe Tukasema sasa haya maneno

juu, mkatuambia kuna watu wengine wako juu ya

ni

namna

gani,

mnatakaje?

Mkasema

sisi

zote

sheria na

wengine wako

tunataka

kuwa level, si

Audience: Ndio

Com. Pastor Ayonga: Kila mtu chini ya sheria, kama unavunja unaambiwa umevunja sheria na sisi tukasema Wanakenya wamesema kila mtu ni sovereign lakini sheria ya Kenya ni supreme, ni supreme kwa kila mtu. Basi hiyo tukaweka halafu mkasema na tunataka hii sheria itakapowekwa, Katiba ikiwekwa itunzwe, isiwe inalegea upande ingine. Kama ni kwa Onyango inakazwa, ikifika kwa Ochieng’ inalegezwa, hapana tunataka ilindwe kabisa kwamba itatumikia kila mtu sawasawa, na hiyo tumeweka. Hiyo ukisoma utaelewa kwamba hivyo ndivyo tumefanya. Ndipo mkatuambia mnataka Kenya iitwe Republic, ndiyo na ikiwa republic mkasema mnataka muone mipaka ya Kenya imewekwa sawa sawa.

Mnajua kwamba kuna sehemu zingine nadhani kama hapa Lake Victoria, si viko viziwa vingine huko ng’amo ile ingine ambao wakati mwingine tunasikia watu wetu walienda huko wakanyang’anywa samaki? Watu wetu wamefanyiwa hivi na watu wa jirani na nyinyi mkauliza hii ni maneno gani? Hapa Kenya haijulikani mipaka yake, hapa Kenya kila mtu anaingia au Kenya imekuwa namna gani. Kutoka upande wa North Eastern si kuna mambo kwamba tunasikia wengine wameiingia hivi na wengine wameingia hivi na mkasema mipaka wa Keny tunataka uwekwe, uwe defined kwamba hapa ndio tong’ kabisa ya Kenya. Hakuna tena mtu mwingine anasema huko au vile. Kwa hivyo, hiyo utakuja kuipata tumeweka katika hiyo draft. Halafu mkatuambia maneno ingine mkasema, lazima capital ya Kenya ijulikane, iandikwe kwa Katiba. Mnajua hii Nairobi haikuandikwa kama ndio capital ya Kenya katika Katiba iliyopita ni nyinyi mlituambia.

Tukawauliza, mnaogopa nini si tunajua ni Nairobi, mkasema hapana tunataka iandikwa kwa maana orucha gi oru machielo mwingine atatokea hapa anasema mimi nataka kuweka headquarters ya Kenya iwe Narok, si atakushinda, utakataa.

Speaker: Huwezi.

Com. Pastor Ayonga: Yeye atasema mimi naona hapa ndio mzuri na mwingine aseme itakuwa Nakuru au Eldoret au ipelekwa Mombasa. Lakini ikiwekwa kwa Katiba mtu ataambiwa anavunja sheria ya Kenya, kwa hivyo mkatuambia weka, andika iwe katika Katiba na sisi tumefanya hivyo. Tumesema capital of the Republic of Kenya itaitwa Nairobi, kwa hivyo yoyote anayeitoa hapo atakuwa amefanya nini?

Speaker: Amevunja.

18

Document info
Document views314
Page views315
Page last viewedMon Jan 16 21:51:26 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments