X hits on this document

333 views

0 shares

0 downloads

0 comments

21 / 50

equal na ni lazima tujali juu ya huyu mtu. Halafu, akina mama nao wanalia, hata siwaoni hapa ingawa walikuwa discriminated sasa wako wapi?

Audience: Wako.

Com. Pastor Ayonga: Wengine wako wapi? Akina mama hebu inua mikoni nioni akina mama wale wako hapo? Akina mama hao wamelia Kenya nzima, hao akina mama mnaoona hapa, wametoa maneno makala ni maneno ya haki kwamba haki za akina mama lazima ziheshimiwe. Haki za akina mama, akina mama wawe na haki ya ku-own property, akitaka kufanya biashara yake afanye azalishe mali, akitaka kununua property anaweza kununua property hawezi kuzuiliwa. Naye afanyiwe kama Mkenya yoyote, hiyo equality akina mama wameitaka na kuna mambo mengi ambapo utakapoingilia hayo mambo kwa wingi utakuja kuona vile vitu akina mama wanataka wafanyiwe na vitu wanataka wafanya, ndio maana yake hata tuna huyu mama hapa. Ilipowekwa kwamba watu watatu watatu kutoka kwa kila district lazima mmoja awe nini?

Audience: Mama

Com. Pastor waheshimiwe,

Ayonga: Awe mama. Hii wazee wapewe haki zao.

wanapigani uhuru wao na Mnaona wakati mwingine

kwamba older members of the society. sijui kama hapa kwenu ilipatikana views

Yaani wazee hivi. Tulienda

pahali miaka

pengine, tumebahatika kutembea pahali pengi na tulifika pahali ambapo watu wanasema hivi. Mtu sitini anakuwa nini? Huyo mtu anakuwa expensive to feed, serikali iende ijenge pahali pa kupeleka

yoyote baada ya hawa watu, boma

waende

wawekwa

huko

na

tunapouliza,

wanaenda

kufanya

nini

huko?

Hawa

wazee

sasa

hawazalishi

mali,

wanakuwa

too

expensive to care for waache ma dot com wakae miji yao, wazee wanahaki ya kuishi

waendelee na kazi kama mtu yoyote,

na watu wamekataa, afanye mambo yake,

wamekataa hiyo maneno kwamba wazee akule mali yake na atengeneze mali ingine

akitaka. Kwa hivyo haki za wazee, older ku-discriminate wazee kwa maana Kenya vijana. Hiyo msisahau, walikuwa vijana.

members of iko where it

the society lazima iangalia, is because of these wazee

kwa hivyo and at one

ma dot com wasahau time wazee hawa pia

habari ya walikuwa

Kitu kingine ni juu ya watoto: Watoto ni wa community, watoto wasiwe discriminated, watoto wameumia. Mnaona katika miji mikubwa tuna machokoro, wale ni watoto ambao wazazi wao they don’t care about their children kwa hivyo watoto wanaanza kutangatanga. Sasa kama mtoto atakuwa awe mtu mzima akitangatanga na aende apate mwingine pia anayetangatanga wakaoana, hiyo ya barabarani na wakazaa mtoto ambaye pia atakuwa wa kutangatanga na mwingine wa kutangatanga, wajukuu wanakuja wa kutangatanga. What kind of nation are we going to have, mnaona tutakuwa na nation mbaya. Kwa hivyo inatakikana watoto katika society, watoto wa Kenya, watoto wapewe haki zao ambao ni umpende, kuchungwa vizuri, kulishwa vizuri, kusomeshwa na kukuzwa vizuri kwa maana the family is the most important unit katika serikali. Wakenya tuko 31 Million lakini the most important person au unit ni ile ya family, bwana na bibi kwa maana out of these two tutapata Kenya nzuru au tutapata Kenya kibago.

21

Document info
Document views333
Page views334
Page last viewedFri Jan 20 04:23:32 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments