X hits on this document

339 views

0 shares

0 downloads

0 comments

26 / 50

itakapo andikwa iwe imeandikwa katika kijitabu ambacho kitakuwa rahisi kubeba, kitabu ambacho unaweka hapa, wakati ule mtu anakuja kukushika unamwambia, unanishika ni section gani unafuata. Ni ipi ile ambayo unafuata? Unaweza kufungua page au yeye afungue akuambie, kufuatana na (a), clause B, number hii umevunja sheria ya Kenya zile ambazo wewe mwenyewe ndiye uliyeweka, basi fuata lakini mtu tu kukujia ata random. Wewe unaketi huko na unapata unavutwa huko kuenda nyuma huko, unapelekwa juu juu na mguu moja nusu juu. (Laughter and applause) Hiyo haiwezekani, inatakiwa Kenya…kwanza musikie hii, nataka muelewe hii.

Audience: Ndio.

Com. Pastor Ayonga: Anayevunja sheria atashikwa, hiyo nataka muelewe kabisa.

Audience: Sawa sawa.

Com. Pastor Ayonga: Yaani tukienda kukubali kwamba, these are the laws of Kenya na ukivunja utashikwa. wanaoshika watu pia wamepewa uwezo kwamba mtu akivunja sheria afanye nini?

Wale

Audience: Ashikwe.

Com. Pastor Ayonga: Na afanyiwe nini? Ahukumiwe na tumewaambia watu wa koti katika hii, kwamba kesi viziwe vikicheleweshwa. Mtu akishikwa na aambiwe, umeshiwa kwa maana umekosa sheria ya Kenya, section fulani, fungu ili, mstari huu na kufuatana na hiyo umeshtakiwa, ujibu, ukubali au ukatae na date yako ya hearing ifanywe upesi iwezekanavyo. Watu wasiwe wanawekwa pahali anasaliswa huku, hajuhi why he is there in the first place na akija kutoka anapatikana alikuwa at a wrong place na hakuna sababu iliyomfanya awekwe huko.

Kwa hivyo hii maneno, transparency of the law lazima iwe. Kila mtu na sisi pia tusaidie Constitution, to withhold the Constitution kwamba ni supreme na ni kitu kizuru na ni case. Kwa hivyo kwa ufupi haya ndio maneno yalionileta hapa na hayo ndio maneno yamenileta hapa ku-launch hii draft Constitution na ndio maana yake nimebeba hivi vitu vyangu vya kuwapa kila mtu aende ajisomee mwenyewe ndipo muanze kuulizana maswali. Kwa maana kama hukusoma wakati huu utaanza kuniuliza swali ambalo linajibu hapa tayari, mmeona point yangu?

Audience: Ndio.

Com. Pastor Ayonga: Na tumeelewana?

Audience: Ndio tumeelewana.

26

Document info
Document views339
Page views340
Page last viewedSat Jan 21 04:37:11 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments