X hits on this document

342 views

0 shares

0 downloads

0 comments

27 / 50

Com. Pastor Ayonga: Sasa kama kuna mtu yoyote hapa ambaye ananeno anataka kusema tutafanya hivi. Utakuja hapa au utasimama kule, utasema jina loko, mimi ni ng’ani au fulani fulani na ninataka kusema hivi halafu atajiandikisha wapi? Halafu ataenda kule tuna register ya kujiandikisha, kama jinsi tulivyofanya when we came to collect views, kwa hivyo hamna tofauti. Je, kuna yeyote ana jambo?

Speaker: Hujaguza upande wa local authority.

Local authorities ndiyo, wewe ni Councillor ma-councillor wanataka kujua mambo yao na tumesema juu ya Local Authorities vilivyo, I wish you had read that. Local Authorities wamepata wapatiwe nguvu, yaani nguvu yote ambayo ilikuwa imewekwa huko juu, tunataka irudishwe to the district. District focus yetu sasa ni ile ya kuona kwamba jinsi inavyofanya, iwe ni mali, iwe ni resources na vitu ambazo zinatakiwa kufanywe kusiwe na hii maneno, kitu inatoka Nairobi, iende Kisumu, hapana. Kitu inaenda straight Migori na watu wa Migori ndio wa pale, hao watu wa Local Authority wachaguliwe na watu. Unaona maneno ya Mayors, si ma-Councillors ndio wanakaa huko peke yao halafu wanaanza kunung’una, lili na lile.

Kwa draft

maana huyo Chairman bill, Local authorities

ni Chairman wa branch, watakuwa na maana.

serikali itakapokubalika kwamba Na hata pia tumeweka juu ya

mambo yanarudi hapa chini masoomo yao kwa maana

katika hii tumesika

ma-Councillor kwa maana ni

wengine hata hawajuhi kusoma na kuandika, eeh? mtoto wa ng’ambo ile na anawatu lakini hawezi

Hawajuhi kusoma na kuandika yeye anatoka tu ng’ambo kusoma, hawezi kuelewa hata wakata wanapoongea juu

ile ya

budget. Hawezi kuelewa hata wanapoongea juu ya development, contribution. Tumeweka lazima awe mtu msomi na tena chairman ma-Councillors wengine, hapana, achaguliwe.

yeye yuko kule tu kwa wa Council lazima awe

kupata allowance na anaenda mtu msomi na achaguliwe na

without watu, si

Audience: Na raia

Com. Pastor Ayonga: Ndio na raia. Kwa hivyo, kitu ambacho nataka musome vizuri, tumetoa jinsi ambavyo hawa watu watachaguliwa. Tumeweka kiwango cha elimu, niliwaambia kwamba watu ambao watakuwa MP’s watakuwa watu ambao wana-degree na hawa tumewaweka lazima watakuwa watu ambao ni form four’s, chini ya hiyo itakuwa hatari. (Laughter) Na lazima mtu awe ameelewa mambo ya kile anachochaguliwa, kwa hivyo tunataka serikali za nyumbani zile ambazo tunaita local authorities ziende kuwa na nguvu, ikiwa Provincial Administration lakini provincial na hayo mambo yatakuwa ana-debate kwa maana tayari hata wengine tunanuka anasema aah aah!

Kwa hivyo tunangojea watakuja kupigana lakini mwishowe Wakenya wote will come out with a solution kwa maana kitu ambacho kinafanya mambo kuwa mabaya ni kuwapa watu service. Lakini kama watu wanaweza kupata service ya …..lazima watu …..(Inaudible). Kwa hivyo nataka kuwapa nafasi, nimeongea mpaka nasikia mdomo imekauka, si ndiyo? Sasa na nyinyi

27

Document info
Document views342
Page views343
Page last viewedSun Jan 22 00:14:52 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments