X hits on this document

327 views

0 shares

0 downloads

0 comments

36 / 50

Com. Pastor Ayonga: Ama ije Karibu.

Aloise Kadiwa: Kipande ije karibu.

Com. Pastor Ayonga: Na upewe.

Aloise Kadiwa: Na nipewe.

Com. Pastor Ayonga: Na ni haki yako.

Alois Kadiwa: Na ni haki yangu ya tatu….

Speaker: Usiulizwe mwaka.

Alois Kadiwa: Usiulizwe mwaka. Miaka na mini ni Mwanakenya pengine nilikuwa Uganda, pengine wapi na nimerudi kwetu nyumbani.

Com. Pastor Ayonga: Hiyo iko.

Alois Kadiwa: Sawa sawa. Ya tatu mimi sikuzungumzia kwamba walinzi, power wa wananchi ati zifukuzwe, mimi sikuonelea hayo. Machifu na power wa wananchi, wao wawe tu kama kawaida wao kila siku lakini wachaguliwe na wananchi, raia.

Com. Pastor Ayonga: Hiyo tumesema, sawa.

Alois Kadiwa: Na wapewe mambo ya…

Com. Pastor Ayonga: Na Kipande upate.

Alois Kadiwa: Na kipande nipate.

Maurice Obula: Ero kamano ni kom mar chok wach mar Katiba, an ma awuoyo ni an Maurice Obula Maler aa South K a d e m e W e s t K a n y a r u a n d a k a , e g w e n g m a r G o d B o n d o . A d u o k o e r o k a m a n o .

Com. Pastor Ayonga: Wach point ma idwaro wacho.

36

Document info
Document views327
Page views328
Page last viewedWed Jan 18 22:36:38 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments