X hits on this document

331 views

0 shares

0 downloads

0 comments

48 / 50

Jana nilitumia method moja ambayo nilifikiri ilifaa, kwa maana hivi vitu ni vichache.

Speaker: Inaudible.

Com. Pastor Ayonga: Endelea tu, pumzika ndugu yangu ni hiyo ndio uhuru wa Kenya. (Inaudible)

Sasa vile ambavyo Bwana Ogutu yuko hapa ni niko katika boma yake, constituency yake, yeye ndiye nitampa agawe hii. Anaweza kutumia method yoyote anayojua lakini ukituamia yangu pia itakusaidia. Yangu yenye nilitumia, la siwezi kukuambia nikikupa chakula ndani ya nyumba yako utafanyaje, mimi kwanza kitu ambacho nitasema, nitawaambia hawa watu wako hapo wote, wamekuwa wazuri sana, wazuri tena wazuri, lakini wale watu wa huu mtungi unaweza kutuimbia wimbo moja ambayo itaingia hapa?

Speaker: Ndio.

Com. Pastor Ayonga: Hebu piga ile ndipo tutaomba, ndipo Bwana Ogutu atagawa hizi. Hapo awali unajua walitutumbuiza, hii mtungi imeita watu.

Joseph Ogutu: Okay, thank you very much.

Com. Pastor Ayonga: And this is very special.

Joseph Ogutu: Very good.

(Another song from Nyatiti dancers)

Soloist: Chorus:

Yawa yuora wang’i mitna, it ni kodinore ka awero wendi berna.. Wero wendi berna. Atimni kodi nenda, aweri wendi berna.

Soloist: Chorus:

Yawe wero wendi berna, it ni kodinore eka wero wendi berna Wero wendi berna, it ni kodinore eka wero wendi berna.

Soloist: Chorus;

A wuod Ogutu wendi nega, Ogutu chik it iwero wendi Wero wendi berna (yuako otelo), chik it kaduaro Elsa wero wendi berna

48

Document info
Document views331
Page views332
Page last viewedThu Jan 19 17:23:39 UTC 2017
Pages50
Paragraphs810
Words17365

Comments